Africa Magic Viewers Choice Awards ni Tamasha la Tuzo linalofanyika kila mwaka huko Lagos nchini Nigeria, Kuelekea Msimu wa Tisa wa Tuzo za African Magic Viewers Choice Awards mwaka 2023, Hizi ni Filamu za Afrika Mashariki zilizoteuliwa kunania Tuzo hizo kwenye kipengele cha Filamu bora zaidi yenye Lugha asilia, (Best Indigenious Language Film 2023).
- Safari (Kenya) |Directed by Bill Afwani
2. Baraka Tatu (Tanzania) |Directed by Malcom Hamisi
3. Mvamizi (Tanzania) | Directed by Philipo Ngonyani
4. Mpiganaji (Tanzania) | Directed by Daniel Manege.
5. Click Click Bang (Kenya) |Directed by Philip Karanja
6. Frida (Tanzania) | Directed by Philipo Ngonyani
7. Dua (Tanzania) | Directed by Freddy Feruzi