Catherine Michael ni binti mwenye talanta nyingi anayeipenda sanaa, alizaliwa Dar es Salaam, Tanzania.
Katika umri wa miaka 24, tayari amejitengenezea jina kama mwigizaji, mwanamitindo na msanii wa mapambo yaani Makeup Artist Mnamo 2022, Catherine alipata fursa ya kuigiza uhusika wake mkuu katika filamu ya Still Ok to Date? Uigizaji wake mzuri katika filamu hiyo ulipelekea kupata bahati ya kuchaguliwa kuwania Tuzo ya Muigizaji bora wa kike chipukizi kwenye Tuzo za Tanzania Film Festival 2022.
Kwenye Filamu ya Love Transfussion ya mwaka 2023 Catherine alifanya jukumu la Msanii wa mapambo (Makeup Artist) kwa kubadilisha waigizaji na kuboresha mwonekano wao kwenye screen, uliimarisha zaidi ukomavu wake kama msanii anayebadilika, Catherine pia alionekana katika tangazo la Tv ikiwa ni pamoja na uhusika katika tangazo la Vodacom 2023, hii ni kutokana na kipaji chake vikichagizwa na urembo wake wa asili.
Mwaka 2022 Alichaguliwa kuwania Tuzo ya Msanii bora wa kike chipukizi kwenye Tuzo za (TFF)
Mwaka 2023 Alifanya jukumu la Msanii wa Mapambo (Make up Artist) kwenye Filamu ya “Love
Transfussion”
Year | Movie | Salaray |
2022 | Stil ok to Date? | 500,000/= |
2023 | Love Dada | 1,400,000/= |
Movie Name
Ratings
Drama