Review ni hakiki ambazo watumiaji wetu huwasilisha kwenye tovuti yetu moja kwa moja na huhifadhiwa ndani ya database. Zifuatazo ni hatua rahisi za kufanya Review.

Login

Hakikisha umeanza kwa kubonyeza button ya “Login” juu kwenye kichwa cha ukurusa. Kisha ingia kwa kutumia akaunti yako itayokuruhusu kuacha review.

Join Today

Kama bado hujatengeneza akaunti ndani ya tovuti ya CineBox, bonyeza “Join Today” kuweza tengeneza akaunti kwa kujaza form utayopewa. Kisha bofya, “Register”.

Review

Kisha tafuta Filamu, shuka chini baada ya maelezo ya filamu na uchague nyota kati ya 1 hadi 10 kuashiria ubora wa filamu. Pia unaweza acha maoni ya kina kwenye comment, kisha bofya “Send”.

Wasilisha Filamu Unaweza kuwasilisha filamu kutumia njia zifuatazo zipate kuwa sehemu ya CineBox.