Filamu hii inamhusu bwana mmoja aitwaye Makoti, masikini aliyeona vitu vingi vilivyo msikitisha moyoni mwake. Baada ya wimbi la watoto na walimu waliokosa mahitaji muhimu kuwafikia kutokana na ufisadi wa mali za umma na siasa chafu zinazopeleka kupoteza uhai watu wasio na hatia ndipo bwana Makoti akachukua maamuzi ya kumuandikia mungu barua.
Madebe Lidai
Haviti Makoti
Mshindo Jumanne
Jackline Haviti
Teodosia Kayage
Andrew Boniface
Stella Makundi
Elizabeth Swai
Upendo Laurent
Morel Matonya
Zungu B
Produced: Haviti Makoti
Executive Producer: Safina Movie
Cinematography: Rama Biola
Film Editing: Madebe Lidai
Light: Nassor Thomas
Country: Tanzania
Language: Swahili
Year: 2017
Production Co: Lp Media, B.M.O & Safina Movie
Color: Color
Aspect Ratio: 16:9
Copyrights: All rights reserved
Reviews ( 0 )