Chanuo (2018)

Drama | 43 Min
Rating:
7/10
7

Movie Info

Movie Story

Filamu ya chanuo inamuhusu binti mmoja aliyekuwa akiitwa Chanuo Nchakali aliyekiwa akiishi Kibiti mkoani Pwani na mama yake mdogo, chanuo hakuwa anafurahia na maisha anayoishi na mama yake huyo kwa kuwa alikuwa ni binti aliyefunzwa na mwenye heshima, chanuo alijikuta akifanya kila alitakalo mama yake mdogo, mama yake Chanuo alitamani wanawe waolewe na wanaume wenye kipato kikubwa hivyo hakusita kumuoza Chanuo kwa mwanaume asie mpenda na kumuachanisha na mtu aliye mpenda kwa dhati hata hivyo chanuo hakupata furaha ya ndoa hiyo kwani mwanaume aliyemuoa alikuwa hawezi kumlidhisha kihisia, chakusikitisha zaidi Chanuo aliolewa akiwa na mimba ya mwanaume ampendae na mama alitaka mimba itolewe ila chanuo aligoma hivyo aliamu kutoroka na kuishi maisha yake jijini dar es saalam sehemu itwayo mbagala chanuo aliishi akiamini hakuna mapenzi ya kweli na hakuna mwanaume aliyeweza kumfikisha kimapenzi kama alivyokuwa na mpenzi wake wa awali, hivyo basi alijikuta akifanya mapenzi na wanaume tofauti iliapate radha ileile. lakini siku moja mama mdogo wa chanuo.

Cast

Madebe Lidai
Hidaya Boli
Zaudia Shabani
Zuhuru Kufinya
Ibra Mbwela
Zakaria Joshi
Marcy Paul
Mwazani Mohamedi
Saleh Maginga
Hidaya Shomary
Koletha Mkemangwa
Vicent Macha
Ochu Kiota
Rukia Shabani
Chajay Ramadhani
Zahara Mbezi

Crew

Produced: Madebe Lidai

Executive Producer: LP Media

Cinematography: Rama Biola

Film Editing: Adam 007 | Madebe Lidai

Graphics: Husna Vimacho

Makeup: Ochu Kiota

Sound Recorder: Farhiya Maulidi

Sound: Husna Vimacho

Location Manager: Ochu Kiota

Production Manager: Ochu Kiota

Details

Country: Tanzania
Language: Swahili
Year: 2018

Box Office

Distributor: Africha Entertainment

Company credits

Production Co: Lp Media, B.M.O

Technical Specs

Runtime: 43 mins
Color: Color
Aspect Ratio: 16:9
Copyrights: All rights reserved

Trailers & Videos

trailers
x

Chanuo | Official Trailer

Drama

Reviews ( 0 )

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommend movies

7/10
7/10
7/10
x