Insha – Allah (2017)

Drama | 54 min
Rating:
7/10
7

Movie Info

Movie Story

Filamu hii inamhusu mzee Ngalambe aliyekuwa akiishi na binti yake Shida ambaye alitamani asome mpaka elimu ya juu ili aweze kumsaidia katika kukuza kipato chake. Fundi Selemara huyo ambaye hakujua mawazo ya binti yake Shida aliyekuwa anatamani kuwa na familia yake na kumshawishi kijana aitwaye Taulo ampe mimba na wala asihofie kuwa yeye ni mwanafunzi kwa mapenzi yao na kwajinsi walivyokuwa wanapendana wakakamilisha moja ya ndoto zao ya kupata familia wakiwa pamoja bila ya kujua sheria ya nchi hairuhusu Mwanafunzi kubebe mimba na sheria inaamuru atakaye fanya hivyo atahukumiwa miaka therathini jela.

Hivyo kijana Taulo alijikuta akiingia hatiani baada ya mbinu zake za kutaka kutokomea kusiko julikana kugonga mwamba, familia ya Taulo ilijitahidi sana kuongea na mzee Ngalambe ili walimalize swala hilo nyumbani lakini ilishindikana kwani Ngalambe alitaka swala hilo liishe kisheria licha ya hekima ya kaka yake Taulo aitwae Madebe kumtaka atumie busara juu ya maamuzi yake lakini mzee Ngalambe alikataa kata kata ndipo Shida Ngalambe alijiona yeye ndio mkosaji na msababishaji wa yote hivyo akajihukumu kifo kwa kujinyonga na kumuacha baba yake akiwa mpweke na mnyonge sana.

Cast

Details

    Country: Tanzania
    Language: Swahili
    Year: 2017
    Location: Tanzania

Box Office

    Distributor: Africha Entertainment

Company credits

    Production Co: LP Media

Technical Specs

    Runtime: 54 Minutes
    Color: Color
    Aspect Ratio: 16:9
    Copyrights: All rights reserved

Trailers & Videos

trailers
x

Insha - Allah | Official Trailer

Drama

Reviews ( 0 )

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Recommend movies

7/10
7/10
7/10
x