Hidaya ni binti mdogo ambae anapotea mara baada ya kuingia katika kijiji ambacho bibi yake mchawi yupo, Mkazi wa hapo kijijini Kufinya dada yake ana uchawi anajaribu kutafuta suluhisho kwa watu tofauti lakini kwa ujasiri wa bibi anajikuta yeye ndiye anatolewa kafala na mabinti aliowafundisha uchawi yeye mwenyewe.
Executive Producer: Swahiba Movies
Cinematography: Rama Biola
Makeup Department: Hidaya Shomary
Location Manager: Hamisi Kufinya
Production Manager: Hamisi Kufinya
Reviews ( 0 )