Filamu hii inamuhusu kijana mmoja aitwae Kafiri aliekua akiishi na mkewe Chanuo nchakali baada ya chanuo kupata mimba alianza kumsumbua kafiri kwa vituko vya mimba vilivyomuuzi kafiri mpaka kufikia maamuzi ya kutaka chanuo atolewe kizazi aliongea na madaktari na alokubaliana nae baada ya chanuo kusikia kwamba ametolewa kizaz aliwachukia wanaume na kuapa kutotaka kuolewa tena alijikita akifanya mapenz na mwanaume amtakae kisha alimlipa pesa alokua nayo alifanya hivyo kwakua alijigundua kua yy hawezi kupata mtoto kama wanaume wengi wanavyopenda na kujiona hana thamani kama kiberiti kisichokua na njiti yeye alibaki kama ganda.
Madebe Lidai
Zaudia Shabani
Ochu Kiota
Hashim Omar
Hassan Mtambo
Nuru Silima
Hussein Lugendo
Hassan Bakhja
Fidelis Anzigali
Abdallah Kambangwa
Ally Njenje
Skoba Drama
Mohamedi Kindoile
Jenifa Bemad
Shuku Kiwali
Sonia Muhidin
Tausi Zuberi
Steven Minde
Hamisa Hatibu
Martin Shunda
Mayasa Zamea
Sonia Mzuri
Wales Shunda
Ismail Said
Angelina Kaswaga
Noreen Tesha
Kinjo The Power
Noely Chambua
Shukuru Saleh Maginga
Hamisi Kufinya
Produced: Madebe Lidai
Executive Producer: LP Media
Cinematography: Rama Bialo
Drone Pilot: Adam 007
Final Editing: Adam 007
Motion Graphics: Adam 007
Script Supervisor: Keyto Kae
Costume Design: Ochu Kiota
Casting: Lp Media
Contiunity: Keyto Kae
Soundtracks: Adam 007
Location Manager: Rajabu Litete | Ochu Kiota
Production Manager: Ochu Kiota
Country: Tanzania
Language: Swahili
Year: 2019
Distributor: Africha Movies
Production Co: Lp Media, B.M.O
Runtime: 42 minutes
Color: Color
Aspect Ratio: 19:9
Copyrights: All rights reserved
Reviews ( 0 )