Kulikuwa na familia yenye mabinti wawili sikujua na siwajibu waliokuwa wakiishi na mama yao mzazi huko kimanzi chana katika mkoa wa pwani, familia hii yenye mabinti wawili mmoja aliyekuwa amesha fundwa na mwingine bado hajafundwa yani mwali mabiti hao siwajibu na sikujua walijikuta wakipenda mwanaumea mmoja alitwa fimbo mbili lakini fimbombili yeye alimpenda sikujua ila siwajibu alijikuta akishidwa kuvumilia, penzi la sikujua na fimbo lilizidi kushamili likawa wazi kwa watu ndipo mama akaamua kumcheza mwanae sikujua ili akamilishe mila ndipo fimbo mbili alitafuta mshenga ili siku ya mwali kutoa basi yeye aowe fimbo alikubaliwa kumuoa sikujua. lakini siku ya mwali kutoka sikujua alipata ugonjwa wa akili na kuanza kula vitu vya jalalani kwa bahati mbaya siku moja akiwa jalalani alikaula sumu sikujua alifaliki dunia, siwajibu aliona hiyo ndio fursa ya yeye kulipata penzi la fimbo ndipo alimua kumundikia barua kijana mmoja aitwae mpumbavu aliyekuwa anamsumbua kwa kumtaka kimapenzi ili barua hiyo imfikie fimbo mbili ambae alikuwa na urafiki na mpumbavu fimbo baada ya kupata barua akaamini kuwa aliye mfanya sikujua aumwe ugonjwa ule ni dadayake siwajibu alimpelekea barua ile kwa mama yake na siwajbu ndipo mama kumfukuza kamfukuza nyumbani siwajibu, siwajibu aliondoka akiwa ajui pakwenda akiwa njiani alisaidiwa na bwana mmoja aitwae kanduru aliyekuwa dereva wa pikipiki wakati huo mpumbavu alishuhudia siwajibu akiondoka na kanduru mganga alikuja nyumbani kwa kina siwajibu ilikuomba radhi kutokana na makosa yaliyo fanyika ofisini kwake siku ya shughuli ya kumtoa mwali mama alienda kwa mganga kutaka fungo la nyumba na uwanja siku ya kumtoa mwali lakini mganaga bila ya kujua alibadilisjha dawa na kumpa dawa ya kumfanya mtu awemwehu mama baada ya kujua ukweli akajilaumu kwa kuisambalatisha familia yake akawa na kazi ya kumtafuta siwajibu.
Executive Producer: LP Media
Camera Operator: Rama Bialo
Film Editing: Adams 007
Motion Graphics: Adams 077
Makeup: Ochu Kiota
Sound Man: Fikiri Maginga
Location Manager: Isihaka Ngokwe
Production Manager: Ochu Kiota
Reviews ( 0 )