Mpiganaji ni Filamu kuhusu kijana akiwa katika harakati za kujinasua yeye na familia yake kutoka katika madeni na umaskini, Baraka aliacha shule na kuamua kuingia kwenye mashindano ya ngumi ya kulipwa ili kupata fedha anazohitaji sana. Je, atafanikiwa?
Release Date: 2022
Country: Tanzania
Language: Swahili
Reviews ( 0 )