Mapenzi, maisha, ukatili na ngoma za asili ni baadhi ya mambo ambayo jamii imevibeba ili tu kuikamilisha mila na desturi katika uhalisia wake. Hadithi ya Mwali inahusu uhusiano kati ya Nozo na Mwalimindu (Mwali). Nozo ni mwana wa kwanza wa Chifu Kimbamanduka wa eneo la Bagamoyo, huku Mwali akiwa binti wa Chifu Kandamsile wa kijiji cha karibu. Ingawa wanaishi jirani, Mwali na Nozo wanakabiliwa na uhasama kutokana na historia ya familia zao.
Aqwelina – Mwali
Ahmed Shifta – Jefa
Mutrah – Nozo
Haviti Makoti – Chifu Kandamsile
Jackson Kabirigi – Semindu
Flora Mvungi – Mwanahawa
Country: Tanzania
Language: Swahili
Color: Color
Copyrights: All rights reserved
Reviews ( 0 )