Licha ya familia zao kutowaidhinisha, wapenzi waliopendana tangu utotoni na kutengana wanakutana uzeeni na kuamsha hisia zao za mapenzi. Hadithi hii sio hadithi ya mapenzi tu, ni hadithi inayohusu mapenzi.
Isaya Lioba – Mzee Mdala
Tecla Mjata – Bi Nafu
Dickson Kyaluoko – Dibwe
Juliana Joseph – Anna
Hidaya Boli – Marry
Ibrahim Modestu – Mdala
Emmanuel Gembe – Mdala Kijana
Kisena Juniour – Mdala Mtoto
Maria Moses – Nafu Mtoto
Zalhat Zuberi – Nafu Kijana
Tshilocojack Kalonji – Mzee Sakilu
Haviti Makoti – Mwl. Makata
Lumole Matovolwa – Mwl. Matata
Fadhili Khalidi – Beka
Hatika Hamza – Beka Mtoto
Lydia John – Naomi
Produced: Juma Saada
Co-Produced: Malcom Khamis
Line Producer: Emmanuel Gembe
Executive Producer: UCI Motion Pictures
Assistant Director: Rodrick Mkamba | Keyto Kae
Guest Director: Nelson Mtunguja
Cinematography: Malcom Khamis
Drone Pilot: Adam 007 | Malcom Khamis
Lighting and Grip: @wekempa
Film Editing: Malcom Khamis | Adam 007 | Mohamed Salum
1st Assistant Director: Rodffin
2st Assistant Director: Keyto Kae
Graphics: Street Eye Media
Script Supervisor: Keyto Kae
Costume Design: Jafari Rajabu Athuman | Saada Rashidi
Makeup Department: Dorothea Dege | Saada Rashidi
Gaffer: Kempanju Grayson
Casting: Juma Saada | Malcom Khamis
Set Design: Jafari Rajabu Athuman
Continuity: Keyto Kae | Saada Rashidi
Key Grip: George Mayega
Best Boy: Elia Jawasiri | Zuberi Chacha | Iddy Lea | Rashidi Zombi
Sound: Said Mwema | George Mayega
BTS: Othuman Kobembe
Songs:
Location Manager: Nelson Mtunguja
Production Manager: Emmanuel Gembe
Country: Tanzania
Language: Swahili
Year: 2022
Location: Tanzania – Morogoro, Tanga
Production Co: Uci Motion Pictures
Color: Color
Copyrights: All rights reserved
Hakika nakupenda ni zaidi ya film coz imegusa sehemu kubwa sana ya maisha yetu ya kiafrica..
Pia imeonyesha ni namna Gani mapenzi ya kweli yapo na Mioyo iliopenda kuweza kutunza upendo Kwa mda mrefu bila kupoteza Upendo uo.
NAKUPENDA FOR LIFE.