Olema ni filamu inayomhusu mama Nangiyii (Irene Uwoya) aliyekuwa akiishi na mfanyabiashara haramu na mhaini Jijini Arusha, Nangiyii anapitia matatizo na changamoto nyingi ikiwemo kuuzwa mwili jambo lilo mchochea kutoroka kwa kuiba mali za mfanyabishara huyo haramu. Kutoroka kwake kulimfanya awe lengo kuu la kuuawa na maharamia. Akiwa kwenye harakati za kutoroka Mama Nangiyii anaibukia makazi mapya ambayo anatakiwa kuyakabili kwenye hii jamii ya Wamasai.
Irene Uwoya – Mama Nangiyii
Mariam Ismail – Nailleke
John Elisha – Zota
Steven Almasi – Shatta
Modo Emmanuel – Leyoo
Frank Kasambaganya – Nyokaa
Idd John Topaz
Mrisho Mrisho Leyishika
Jarufu Nyanje Laizer
Abeid Mohamed Kande
Halima Mndeme Mke Ya Levishika
Nicodemas Shabani Extra
Renatha Alex Extra
Mwaniki Mohamed Extra
Faizi Mahamoud Extra
Habibu Ngoto Extra
Ayubu Iddi Extra
Ally Mdoe Extra
Zainab Mrisho Extra
Mzee Nalei Extra
Produced: Irene Uwoya
Executive Producer: Irene Uwoya
Director of Photography: Kelvin Sengo
Camera: Mohamedi Ahmedi
Film Editing: Mohamedi Salum | Baraka Ndabita
Keygrip: Bakari Furaha
Setting & Decoration: Kasambaganya
Wardrobe & Continuity: Rommy Joas
Gaffer: David Emmanuel | Bakari Furaha
Drone: Shalom Videos Production
Continuity: Romy Joas – Rweikiza
Sound: Nicodemas Shabani
Sound Engineering: Abdukarim Makoti
Music: Joga Beat
Subtitle: Joga Beat
Stunt: Modo Emmanuel
Location: Almando Mwirola
Production Manager: Colik Enzi | Sancho Songolo
Country: Tanzania
Language: Swahili, Masaai, English
Year: September 8, 2023
Location: Tanzania – Arusha & Manyala, Ngarenaro, Ngaramtoni, Monduli (Umasaini), Kisongo
Production Co: Kisimani Film, Apple Entertainment
Runtime: 01:45:00
Sound Mix: Sound System
Color: Color
Aspect Ratio: 16:9
Copyrights: All rights reserved
Reviews ( 0 )